Msee anadunga cladi imemekishwa na ugoro

August 8 2014 3:45pm     0 2231

Photo Credit: Dina Rickman   Tingua risto

Kuna msee nifla husuko India anjiita Pankaj Parakh ni msee mdosi sana na ni kama anataka the whole world ijue kuna venye yeseye ni donga, hadi yeseye hudunga shati ya ugoro.

 Indian Times ili report hisihi shati, ilikuwa made out of 18-22 carat za ugoro, na ilimekiwa special ya Mr. Pankaj kama gift ya his 45th birthday. Na shati yenyewe ikona kilo four na ina worth 127,000 pounds.

Ata hivyo Pankaj sio msee wa fao kumekisha shati ya ugoro, husuyu mudhii muinengi anajiita Datta Phuge alispend 14,000 pounds kumekisha solid shirt ya ugoro last year.

Na bado sio hasawa pekee, bado kuna rende ya wadhii wengine na vako kama hii ya kumekisha shati za ugoro husuko India. Juzi hasapa 254, ndio tulicheki mjamo wa ma Senator mwanzo wa hasapa kanairo Mike Mbuvi a.k.a Sonko aliboti chain ya ugoro ikona jina yake ya ''SONKO'' ikiwa worth dolare 35,000 sawa na doh ya kenya ikiwa, mita tatu. Sonko alionekana aki boti hisihi ugoro shop nifla hasapo Nakumatt Lifestyle inajiita Tiara Jewels.  Yebi mbisha za Sonko akiboti hasapa.

Related Stories