Burger king imego Black…

September 12 2014 1:28pm     0 813

Photo Credit:The guardian   Tingua risto

Burger King ya husuko Japan imeamua kutolesha goth-like burger, yenye mkanyo, cheese na sauce ni black inafanana kama keroma imeburn. Inakaa kama left-over scraps zimeshura, na kuzidisha iko kwa menu.

Kumbe hiyo black look inahappen wakitumia bamboo charcoal, kwa buns na cheese, alafu sauce iko mixed na squid ink. Sa hisihi ndio keroma favorite kwa raiya wa Japan.

Lakini kushawahi kuwa na keroma nyeusi bafo. Kuna Spanish dish inajulikana kama Arros Negre, yenye ni pasta iko mixed na squid ink. Inadaishwa kumanga hizi dema ni luxury alafu ni kama kuchekelea kifo,kwa wale wameovercome it. 

Related Stories