Top layer

July 12 2012 12:29pm     2 6306

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa life, kila living organism hudaish kupata susteinance na hii inakuanga in the form of keroma. Ndio maana kuna saying that si husaka juu ya tumbo kwanza. Hizo vitu zingine hua ni after tumbo imeshiba ama angalau imetulia kiasi yake.

Kila mtu anatakanga akiget food akule ile ya top layer...mahali kuna unono kiasi. Na kama kawa, pia simba ni mmoja wao...

Inakaa kuna raiyaa ilikua imeenda kucheki wanyama na ni ka hawakua wanajua ziko area gani. Hatuna hii Riba, lakini lazima tushangae after kuona hii mbisha. Kuna vile hii simba inakaa ilikua imeona keroma ya nguvu hasapo. Unakenga kijea, huyu msee alibaki?

Related Stories