Nalinga inaride solo…

September 25 2014 12:15pm     0 548

Photo Credit:Google   Tingua risto

Dale Decker amekuwa prisoner kwa jakes yake, coz ya kuget constant erection. Hii risto imefanya mabeshte na famo kumhepa juu wameshindwa kumuelewa.

Anajipatanga akiwa na orgasms kama soh kila siku, lakini anadai haileti shangwe ata kidogo. Akona Persistent Genital Arousal Syndrome. Ugonjwa aliwai September 2012, ambapo disk jamo ilislip akitry kuamka kutoka kwa kiti. Na anazidi kuzusha akidai maisha yake imekuwa ya uduu kuruka.

Blanda ile bwaku ni venye haichaguangi matime za kukuom. Sa ikifika unaget orgasms lembe ya wasee wa famo ya kwako, ama waniaju, inakuwa kitu disgusting sana. Inabidi wifey kuhustle akiwa solo juu Dale hawezi fanya janta yoyote bila kushtua wadhii.

Relationship yake na wife na watoi imekuwa blanda, juu inabidi kulala bed tofauti. Pia hawezi spend time kibao na wakidi wake, kitu inafanya wanahata chance ya kujuana na bazenga wao. Alafu wale madoki amecheki wanadai hawawezi kumsaidia. 

Related Stories