Waks ikileta makujua!

January 5 2015 1:50pm     0 332

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ukiwa na pressure kibao mayadi za waks, wesewe huduu nini? Labda unaweza heri kutemana na hiyo stress kiasi yake, uchukuwe break alafu ukishatulia, urudi kustruggle nayo.

Lakini msee anafaa kuduu nini ikiwa wesewe ni langa alafu upatane na msee amebeba nalinga ya kimataifa!? Kuna risto ilitokelelezea na husuko coast, mtaa ya Makupa. Ambapo langa mjamo alipatana na mjamaa alikuwa amejibeba kuruka na akacheki heri kuhepa kuliko kuumia solo.

Kumbe walikuwa washakubaliana mkwanja ile wangelipishana, juu manzi alidai fee yake kukuwa punch kwa kila shot. Na bei ya kukafunga ikawa thao tatu baada ya biz. Lakini langa alipigwa na shock baada ya kuyebi nalinga ya chali hadi akaamua kutemana na hiyo ganji.

Baada ya madakika alivako mjamaa anataka kuenda loo, na kutoka teke teke hadi stenje ya karao akiwa ndedhe na kureport chenye amejionea. Ilibidi makarao wamempiga escort hadi kwa ile lojo walikuwa na customer wake kuwai cladi na bagiko ya kwake.

Sema kukuwa na siku mbaya kwa offe!  

Related Stories