Blanda kuomba uwanjo

September 30 2014 5:18pm     0 254

Photo Credit:BBC kiswahili   Tingua risto

Kuna player flani huko majuu alipewa pano vikali sana baada ya kusujudu uwanjo baada ya kutinga kwa game ya American Football.

Hussain Abdulla ni player wa American Kansas na walikuwa wanagusa na New England Patriots baada ya game kuisha 41-14. Refa alimuadhibu hapo hapo baada ya Hussain kurise kutoka kusherekea dude yenye ametinga. Venye alitinga aliinama na kuanza kusujudu, na refa akadaisha ilikuwa ni makosa. Mike Pereira alikuwaga refa wa tenee wa NFL, alidaisha hamna ngori msee akipray uwanjo.

NFL inadaisha hiyo ni mapendeleo juu kuna player mwinengi anajiita Tim Tebow mwenye amekuwa akishow sign yake flani yenye inajiita Tebowing, season mzima 2011 na hakuduiwa any. Itakuwa asaje yeseye kupray tu inaleta kiblanda?

Related Stories