Ku spend 12hrs kwa shake ya famo

August 11 2015 8:50am     0 225

Photo Credit:Stacy Rvere   Tingua risto

Kila nyani huwa na starehe yake, hasapa tunapata riba nifla ya husuyu boy, player wa NFL. Huyu boy ame make mita mbao na eight za dolare kwa hii game ya NFL, Jordey Nelson ana gusia Green Bay Parkers na aka sign contract ya mvua nne kwa dolare salasa na nine.

Kwa interview nifla na ESPN alidaisha yeseye huwa ahati kurudi ocha akiwa off-season, na anadaisha yeseye huwa ana spend 12 hrs kw shake yao ya famo. Anadaisha yeseye hutuipa idhaa shake aki harvest wheat ama aki chunga ng’ombe.

                                             

Anadaisha aki rudi ocha yeseye hujitambua kama farm boy na kuchunga ng’ombe ndio favorite duty, yeseye hujitambua kama farmer than footballer.

Mara mob na zile risto sisi huwai players wengine wakiwa kwa off-season hii inakuwaga time ya kula hepi yao yote. Na ndio maana players wengi huwa wanachapa haraka sana, juu ya kujihusisha na tei, ngono, drugs na vitu zingine fogo. Hii example ya Jordy Nelson ni poa sana kujihusisha na activity positive kwa society.

Related Stories