Results za Champions League

October 1 2014 10:39am     0 1460

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Thomas Muller aliweza kutinga dude yenye iliwamake kuwa winners wakiwa wanaplay na CSKA Moscow. Dude yenyewe ilikuwa ya pena baada ya Mario Gotze kuwa fauled na Mario Fenandes.

Game yenyewe ilichezwa kwa empty stadium hii ikiwa pano kwa CSKA Moscow, yenye waligeiwa baada ya mafans wao kukuwa maracist last season. Sasa Bayern Munich inalead Group E, na points sita baada ya kushinda Man City dude moja mtungi kwa opening match.

Mechi ingine yenye iliguswa jana ya Group E ni kati ya Man City vs AS Roma, na wakaweza toka draw ya dude jamo jamo wakiwa Etihad Stadium. Dude ya Man City iliwekwa ndani na Sergio Aguero baada ya kugeiwa pena kwa dakika nne za fao game ikianza. Alafu baadae kwa half ya seko Francesco Totti akaweza sawazishia AS Roma na kuweka dude, hadi kuvunja record ya Ryan Giggs fomer Man United player. Tingua hii link uyebi results za mechi zingine ziliguswa jana.

Related Stories