Raiya hupenda kubebwa ufala

October 2 2014 9:01am     0 1661

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa hii season ya Ebola, maconni wamesaka njaro za kukuwa relevant kuruka. Na enyewe wamekwachu wasee kadhaa kwa mavako zao za ajaab. Alafu imebaki raiya zaidi ya thao tatu wameshagenya kutoka Liberia solo.

Ilianza na kusemekana wasee wanaweza kupata cure wakioga na waba ya chumvi na sana sana masaa ya midnight. Tena wakarudi kudai wasee wanafaa kudema cobra hearts na macho za porcupine. Vitu zimekuwa zikibotiwa kama hotcake.

Blanda ilizidi venye parasha nifla kuhusu victims wa Ebola kusemekana waliresurrect after kudedi. Hao victims walikuwa mambuus wambexes kati ya miaka arbesa na sixty. Inadaishwa tangu kuresurrect, wanapiga raundi kwa mamtaa,risto imehangaisha raiya vimost.

Sijui kwa nini wadhii wanadinda kuskiza na kukubali gava ikijaribu kuwajulisha kuhusu hiyo ugonjwa. Sa watabaki wamesota coz matapee wamewanyemelea wakifurahiya ufala zao.

Related Stories