Reality jamo sodi Africa nzima

October 4 2014 8:35am     0 233

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama kuna progi imekwama kwa telly vimost ni Reality Game Show ya BBA (Big Brother Africa). Ilianza mwaka wa 2003, ikiwa imeinvolve wasee kutoka countries kinde na mbe za Africa. Alafu walikuwa wanafaa kukaa ninda ya keja bila kumochoka hadi siku 106 kuisha. Hiyo time yote hawakuwa allowed kukuwa na contact yoyote kutoka njei. Njaro ya kutoka ilikuwa jamo tu. Ambapo ukivotiwa out na house mates pamoja na viewers, inabaki umechujwa. Ule msee angebaki hadi day ya lachu, alikuwa anawai cash prize mwenda kuruka.

Winner wa fao alikuwa manzi wa Zambia, Cherise Makubale na aliget $100,000 juu ya kujazz maviewers wake. After that, hii show iliendelea na ata countries zenye zilikua zinapaticipate zikazidi kuongezwa ndio ikuwe more interesting. South Africa ndio wamekuwa host kutoka mara ya fao, so zote hupelekwa tu huko.

BBA ilirudi kutingulia njia ya Reality Show zinengi, sana sana hasapa 254. Tulicheki progi kama Survivor, Amazing Race, The Apprentice alafu zingine local kama; Tusker Project Fame, Sakata, Slim Possible na The Presenter.

This round tunachill BBA 9 kumuja, na inafaa kuanza Sunday 5th Oct 2014. Kulikua na setback venye keja ile ilikuwa inafaa kuhost hao contestants, ilichomeka hadi ikabidi matarehe kusongeshwa. MNET Africa Magic wanadai hii ndio itakuwa baba yao kwa Show zote zishawahi kuom.  Winner atawai $300,000 na contestants wanatoka from countries kinde na four za Africa. Inatarajiwa kuenda siku 91 alafu wasee wanaweza watch 24/7 kutoka Dstv Channel 197 na 198.

Kenya itawakilishwa na msupa anajulikana kama Sabina Isa, mwenye ni Media Personality kutoka Coast. Amekuwa akitokelezea kwa shows kadhaa za telly na anadai ataweza kuentertain Africa nzima akifika BBA. So kaa chonjo ukicheki venye ata perform na usisahau kumvotia, atleast hiyo mkwanja irudi mtaani jo. 

Related Stories