Blanda ya kukatia mambuus wa Eastlando

October 7 2014 10:20am     0 671

Photo Credit:Google   Tingua risto

Eastlando hujulikana juu ya sifa zake mbovu. Na this round imekuwa ata worse kwasababu inasemekana kukatia manzi ametoka Eastlando, ni kama kujichorea death wish.

Ni kawa kwa mambuus kudai mjamaa mwenye anaweza kuwapatia total security, yaani physically na emotionally lakini ya muhimu zaidi ni financially. Bila mkwanja inabaki wesewe si mwanaume tena. Sa hizi needs za madem zimelazimisha maboiyz kujiingiza kwa risto za crime.

Kumbe mambuus wa Eastlando wanazidi kuencourage machali wa kwao kukuwa wagondi coz wanadai maisha ya hali ya juu. Ata wao huwasupport kwa kuwashikanishia janta ama kuwafichia weapons na cheddars za wizi.

Ambapo mudhii akigenya, watasaka mwingine kwa hizo gang, na kuendelea na maisha kawa. Eti wao hucheki wale machali wanawai ganji mbio na kujipa kwao ata kama ni thegi mzii, juu hiyo ndio situation wamezoea mtaani.

Sa inaweza kuwa hawa mambuus ndio sababu ya criminal activities hasapa 254? Ni madem wa Eastlando pekee wako na hisihi tabia ama ni mambuus wote? 

Related Stories