Euro 2014 Qualifier

October 10 2014 11:20am     0 1411

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Team Spain ilibaki wameshtuka sana baada ya kukung’utwa na Slovakia dude bweks kwa jamo. Dude za Slovakia ndiye walikuwa hosts na dude zao zilitingwa na Juraj Kucka, 30-yard Free-kick, and then ya seko ikawekwa Miroslav Stoch. Dude ya Spain iliwekwa na sub, Paco Alcacer. Sasa Slovakia ndio wanalead Group C wakiwa na points sita, alafu Spain ni ya seko ikiwa na points tuta.

Mechi ingine mwenda yenye iliguswa jana usiku ni kati ya England na San Marino, na England wali manage kurwada wasee dude kobole mtungi.

Dude zenyewe zilitingwa na Jagielka kwa dakika ya 24th minute, and then Rooney na yeseye akaweka ya  seko kwa dakika ya 43rd , hii ikiwa dude yake ya 42nd kuwaifunga akiwa anacheze National team. Ya thado ikawekwa na Welbeck kwa dakika ya 49th , ya fotho na ya kobole zikawekwa na Townsend kwa dakika ya 72nd alafu Dell Valle, 77th na kufunga score sheet.

England ndio ya fao Group E ikiwa na points sita kwa mechi mbweks, nayo San Marino ikiwa ya lanyo bila point na wakiwa wamegusa mechi mbweks.

Related Stories