Haijalishi ni nyau ya aina gani

October 13 2014 3:18pm     0 334

Photo Credit:BuzzFeed   Tingua risto

Kuna mbisha zimetokelezea za mbuus mjamo actress anajulikana kama Melanie Griffith akiwa na nyau ya kwake. Lazima utashangaa hii risto inakuja aje ? Lakini ile nyau iko hasapa si zile za kawa za kuweka kwa jakes.

Mbisha zenyewe zilichukuliwa mwaka wa 1970 wakati huyo mbuus alikuwa teeny. Na ndio risto ifike hapo, kumbe masake, pia actress Tippi Hedren na Step budake, Noel Marshall, waliamua wanataka kuduu film kuhusu Paka bwaku,yaani Lions. Na famo nzima wakafika Africa kuzicheki, lakini animal trainer akadai wakitaka kujua zaidi kuhusu Simba, lazima kuishi nazo. Bila kuchill walikwachu jamo na kuanza kuishi nayo kwa keja yao hadi ikapewa jina na kuitwa Neil.

Sa hasapa tunacheki venye walikuwa wanashinda na Neil the lion ; kama ni kwa swimo, wakituna kwa bed, wakichop gazo, ama wakicheza tu kwa hao. Kwao ilikuwa maisha ya kawa ni kama tu kuweka dogi ama paka ikiwa pet. Na venye tunakuwanga tumegwaya hizi stuff vimwenda. Unaweza yebi hizo mbisha hasapa ndio uelewe.

Related Stories