Kuhusu masaibu za tumbo

October 15 2014 12:01pm     0 2096

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wesewe huduu nini ukijipata unadrive? Diarrhea hukuwa ugonjwa janamo ya tumbo yenye huingiza aibu na hukatsia vimost. Utapata wadhii wakijipatia remedy za kichizi kama kudishi makaa ama kunywaku waba ikona chumvi na shuge. Na kuna zile huwak poa tu.

Lakini inasemekana kuna njaro nira yenye inasaidia tena mbio sana. Madoki wametokelezea na the Frozen Poop Pill. Yenye kama jina yake, ukwela imemekiwa kutoka kwa shoi za wasee wako healthy.

Hao madoki wanadai eti hii njaro ni effective sana coz hizo fecal transplants zikifika kwa digestive tract ya msee msick, zinafight off infections. Ziko ninda ya capsule transparent na ziko acid-resistant. Ata kuna patients washawai tumia hizi dawa na wanadai ziko fiti kuruka.

Sa unaweza kubali kumeza hizi tembe kusave life yako ama thought ya shonde inakukatsia!

Related Stories