Concert ya kukumbuka Lucky Dube

October 16 2014 2:14pm     0 648

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

17th Oct 2014 ndio tarehe imepangiwa kukuwe na concert ya kukumbuka msanii mjamo noma wa reggae kutoka SA, Lucky Dube. Concert yenyewe itakuwa hasapo Carnivore na daughter wa kwake ndiye amemuja kupiga tribute ya bazenga wa kwake.

Nkulee Dube aliwasili hasapa 254 on Tuesday 14th Oct 2014, na alikuwa amejazika mbaya hadi alikatika na ma traditional dancers wenye walikua JKIA kumgotea.  Yeseye ni msanii pia na anajulikana kuduu ngoma za aina ya ethno-soul, jazz, raga na reggae. Ata anatambulika sana juu ya hit reggae jam alitolesha 2013 inaitwa Africa Awake.

Hisihi ndio trip yake ya fao kufika 254, na alidaisha anapenda hii country yetu sana kama vile budake pia alitupenda. Atakuwa anaperform alongside; Bongi Mabaso na Mary Khumalo. 

Related Stories