Dude kobole za kujitinga

October 31 2014 11:24am     0 690

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Team mbwegz husuko Indonesia zime disqualifaiwa kutoka kwa first division play-offs baada ya kujitinga madude. Team zenyewe ni PSS Sleman na PSIS Semarang.

Sleman ilishinda hiyo game baada ya kutinga Semarang dude tatu kwa mbili, committee ya futa ilidaisha team zote zili attempt kuloose ili zisiweze kugusa na Borneo FC kwa semi-finals. Inasemekana Borneo FC ni team mwenye ana owe ni local mafia wa husuko Indonesia, na hanaku team ilikuwa inadaisha kuwa associated na team yeyote ina husiana na Mafia. Game ikiwa the 86th munite hawakuwa wametingana dude yeyote, baadae kidogo Sleman wakajitinga dude bwegz za haraka haraka. Juu pia semerang walidai ku loose mechi wakajitinga dude tatu nakushindwa hiyo game.

Related Stories