Otero wa F1 Abu Dhabi

November 24 2014 11:13am     0 215

Photo Credit:Fomula 1.com   Tingua risto

On Sunday 11th Nov 2014, champee wa this season Formula One alipatikana. Lewis Hamilton, this season amekuwa on point, hii ikiwa win yake ya kinde na jamo, bado alipenya na award ya second driver's crown.

Hamilton alikuwa champee season ya 2008, na kwa hii race ya Ndeisa, Hamiton walikuwa wanapelekeshana sana na team mate wake Nico Rosenberg akimada wa 14th. Wa seko na yeye akawa Fillipe  Massa, akifwatiwa na Valtteri Bottas, and then wa fotho akiwa Daniel Ricciardo, alafu wa kobole akawa Jenson Button.

Laps zote zilikuwa 24 but the 23 laps Rosenberg ndiye alikuwa analead, but venye moti yake ilianza kuleta tafash, ikabaki Hamilton amemchapia juu na kuweza ku lead kwa lap ya last. Tunatambua Rosenberg ndiye alikuwa champee wa Brazilian Grand Prix yenye ilikuwa the beginning of this Month, but juu dinga yake ilileta tafash ikabaki hawes make.

Related Stories