Homeboyz na Nakumatt promo hadi KPL

November 25 2014 12:11pm     0 1352

Photo Credit:MICHEZOafrica   Tingua risto

Kenya Premier League 2014, ilikatika na tulicheki ni Kogalo waliweza penya nayo mara ya seko ikifwatana. Sasa next tunacheki patakuwa na changes kiasi, kawaida sisi hutambua ni teams kinde na sita, but next season FKF imeamua kuadisia team zingine mbee na kuzifikisha hadi kinde na eight.

Alafu bado kuna venye calender ya KPL inafaa kuchange ndio isi affect international matches, but bado decision haijamekiwa, but inafaa kuwa ready baada ya siku salasa between FKF na KPL.

Tukilengana na risto ya changes, team zenye zilipromotiwa na Kakamega Homeboys, hii ikiwa mara yao ya seko kucheza KPL. And then team ya seko kupewa promo ni Nakumatt FC hii ikiwa mara yao ya fao kuwaicheza KPL.

Hizi team mbili kuliagana na FKF National Executive Committee, zitajoiniwa na Posta Rangers pamoja na Shabana FC, baada ya kutop game za Zone A na B. And then team zenye zilireligetiwa baada ya kuvuta mkia ni  City Stars FC na Nakuru All Stars.

Related Stories