Lionel Messi kugusa EPL

January 6 2015 9:24am     0 225

Photo Credit: ESPN STAFF   Tingua risto

Imefika time ingine tena ya transfer window husuko majuu na tunacheki maplayers wakiswitch vimwenda.

Sasa rumours zimelipuka eti kuna venye Lionel Messi anaweza kamu kugusa EPL na kuchezea Chelsea. Hii ni baada Messi alianza kufollow Chelsea kwa instagram. Na akaweza muja Chelsea itabaki Chelsea imetoboka ganji mob tu sana.

Sahii Chelsea ndio wanatop English Premier League, na wakaweza pata Messi possibility yao kuwai League inaweza kuwa juu sana.

Related Stories