Mariga kuvuka boda?

October 26 2012 1:18am     1 1733

Photo Credit:Goal.com   Tingua risto

Risto nifla ina tufikia ati Mariga ana huntiwa na wadhi wa Fullham. Deal ika penya, itabaki ame botiwa for kedo mita 6 za Brito (mita so nane za Kenya).
Mariga mwenyewe haja sema kama ata temana na Inter aishie English Premier League but ni move definitely waKenya wana watch tu vi noma.

Related Stories