Njaro za kukata weight

January 6 2015 12:33pm     0 188

Photo Credit:Google   Tingua risto

Haifai kufwata kila kitu unaskia ama kuyebi kuhusu kukata weight juu kuna venye unaweza genya fasta, ukisaka shoti. Lakini kama unajipenda utachoose kubaki kwa zoezi na kudema fiti hadi ufike ile weight unadai.

Kuna njaro kadhaa wasee hujiumiza nazo, kama; kujidunga na mnyoro ya mambuus wakona odumbo. Hii ni juu ikona hormone inatambulika kama Chorionic Gonadotrphin, yenye huvako mwili ikona ball alafu metabolism inapanda.

Inengi ni; Nikolas Chugay Method yenye msee anachapiliwa polyethylene mesh kwa ulimi. Hiyo mesh hufanya kudema keroma solid ikuwe wera hard so inabaki amechagua liquid diet, na baada ya mwezi atakuwa amekata weight kuruka.

Ama ukuwe kama hao wadhii wanadai kufanya Breatharian diet, yenye wanadepend on air na sola pekee. Wengine nao hukwachu Alcorexia diet, ya kutei solo. Lakini ya ukiwa umefyatukiwa vimost labda unaweza tamani kuenda na Cotton Ball diet, yenye inadaishwa kukuwa low in carbs but high in fiber. Blanda zake ni vile hanaku nutritional value na hurudi kuclog digestive system koya.

Kuna wale huchagua kudoze ndio wasimange. Lakini lazima utakuwa dehydrated,malnutritioned na ata addict wa dawa za kutuna. Pia kuna njaro ya kunusa keroma, kutia zii feeling ya kanenge. Mambuus nao huchagua kujifunga ribbon kwa waist ndio wakianza kuskia iko tight wanatemana na food.

Kuna vitu kama Gila Monster Saliva yenye hufukuza craving ya keroma, alafu Flavor Spray; yenye itakupatia taste ya dema nifla lakini sio lazima kuiactia. Ama kuvuta fegi, kungara shades za blue ndio usitamani food. Kudema cookies solo, ama olive oil na kuweka peg kwa mapua ndio usinuse maharufu za keroma.

Hizi zote ni njaro tu za kujitesa na kukata weight haifai kukuwa extreme hisivi.

Related Stories