Mambo na wachinku...fyam!!

October 8 2012 4:08pm     0 1318

Photo Credit:Slash Gear   Tingua risto

Kuna vile gava ya Oteto imedaisha hizi kampu mbekses za Chinku ni security threat.... ZTE na Huawei ni kampu bwaku za nangos na vitu za ma technology hata hapa mtaani.
Unatumia nangos ya piwa?

Related Stories