Player mnoma kwa world ya TT

January 8 2015 2:14pm     0 306

Photo Credit:Nigeria Table Tennis Federation   Tingua risto

Anajiita Aruna Quadri kutoka husuko Nigeria, ni player mnoma sana kwa TT. Sasa amenemiwa kama the International Table Tennis player of the year 2014. Award yenyewe alipresentiwa akiwa husuko Dubz on Weno this year 2015.

Quadri alikuwa amerankiwa kama namba salasa, but the year 2014 aliperfom to his very best. Alimanage kushinda ranked number one wa TT, Xu Xin kutoka China pamoja na compatriot wake Fan Zhendong, mwenye ni Youth Olympic Games medalist. Na bado aka manage kumshinda Marcos Freits kutoka husuko Portugal, akiwa European Team Championship winner, na bado akiwa player kutoka Portugal kurankiwa wa fao.

Quadiri anadaisha hii imekuwa day poa sana kwake, na ana thank organizers kumconsider kama best player. Na bado anathank mafans wake all over the world kwa kum support, na aka promise atazidi kuperform vipoa kwa career yake. Juu TT ni passion, career na life yake.

Related Stories