Siku ya kuchuja toja

January 13 2015 3:11pm     0 220

Photo Credit:Google   Tingua risto

Manze walami hukuwa wamefyatuka vimajor. Sunday ikiwa siku ya kucelebrate 14th annual, ‘No Pants Subway Ride,’ raiya ya New York pamoja na Milan, Mexico City, Bucharest, Prague na Berlin walijitokeza kwa wingi.

Usisahau temperatures zilikuwa low, njaro inasemekana kukuwa sub-zero, ikiwa ata na freezing winds. Alafu wasee walitoka mtaani wakiwa wameng’ara kawa party ya juu lakini wanabaki na ngotha na njumu badala ya kucladi toja.

Hisihi trend ilianzishwa kama prank na comedy group nifla inajiita Improve mwaka wa 2002, na hiyo time wadhii wengi waliskia maaibu kuwacheki. Lakini sahii imevuma kuruka, na wasee wengi hutamani kuparticipate.

Unafaa kuyebi mbisha za hawa wasee, juu ni kama wanakuwanga wamejipanga videdli kile watang’ara hii siku ndio waweze kustand out. 

Related Stories