Mailbox ikageuka kuwa mdem

January 20 2015 12:02pm     0 148

Photo Credit:Google   Tingua risto

Paul Bennet akiwa na miaka arbesa na five, alikubali mashtaka za kusexua mailbox in public. huyu mjamaa kutoka Wigan, husuko England, amejiweka kwa ngori hatawai samehewa. Manze hadi amewekewa stamp kama sex offender.

Inakaa alitei sana hadi akafyatuka juu inasemekana alionekana na wasee akichuja toja ninda ya shopping arcade, alafu akaanza kujiduu hasapo lembe ya mailbox. Venye alimada aling’ara cladi zake na kuswing kwa pole ya masti.

Kuzidisha alienda akitukana wadhii wale walikua area, bado akidai kuendelea kusexua mailbox inengi. Ilibidi baada ya kubambwa, kotiko kuamuru yeseye kuget alcohol treatment alafu pia alifaa kulipa mthama nifla thao sita,soo saba na chwani, juu alihappen kukuwa eyewitness wa hiyo kisanga yote. 

Related Stories