Ronaldo anarudi uwanjo

January 15 2015 10:07am     0 1508

Photo Credit:The SportBible   Tingua risto

Baada ya mvua tatu bila kugusa dimba, Ronaldo Luis Nazario Lima a.k.a Ronaldo, anadaisha kutoka retirement na kurudi uwanjo.

Ronaldo amekuwa former player wa Real Madrid, Inter Milan na Barcelona, anadaisha kurudi uwanjo na atakuwa anachezea team iko kwa North American Soccer League, na team inajiita Fort Lunderdale, kama striker. Ronaldo ni mjamo wa wale wasee wanaown NASL.

Anadaisha round tisis atatry kugusa mechi kadhaa, since hizo mvua tatu zimevuka hajakuwa akigusa juu amekuwa bize tu sana na glishu za hapa na pale. Anasema anabambika sana kucome back na anasema ataweka jina yake kwa score sheet ya NASL.

Anasema hawezi kuwa manager juu ni genje kumanage maplayer salasa, wakiwa wanathink vitofauti. Pia eti  ni better kuwa owner than kukuwa manager. Hii ni new challenge kwake juu amekuwa bize hizo miaka tatu, akishugulika na plans za world cup juu alikuwa mjamo wa board organizers. Na bado alikuwa commentator kwa local radio station inajiita TV Globo. Big up wacha tucheki come back yake.

 

Related Stories