Jaymo kaoshwa na Ciku

October 8 2012 11:51pm     0 1782

Photo Credit:Jerry Riley   Tingua risto

Tuli lola isihi risto ya boy nifla anaitwa Jaymo kutoka huko Kericho ati venye alikuwa ame kaa na mude nifla alimeet colle halafu after mwaka jamo, mude aka baki ame mlapa vitu zondhe kwa jakes.
Swali tuna uliza ni... kwani mtu uneed time ina toshana aje ndio ajue kweli ana jua mtu anapoa nayo?

Related Stories