Wenye-nchi wakikosewa na wana-nchi

January 26 2015 5:00pm     0 214

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kisanga jamo ya kuumisha mdihe, ilitokelezea hasapo weigh bridge ya Gilgil, baada ya trucks kadhaa kupatikana na blanda nifla. Sa MP wa Nandi Hills, Alfred Keter, alifika hapo sato night na mapupa kuruka.

Alikuwa anapiga protest ninda ya hiyo offe akidemand hizo truck kuachiliwa, akidai yeseye ni bigi wa gava na anaweza make ama kubreak laws. Pia akitaka kuprove yeseye ni mwenye-nchi, alidai calls kutoka kwa State House controller, Lawrence Lenayapa, na Orezo Uhunye, zilimekishwa pale kuamuru trucks zake kuachiliwa.

Keter hakupatia hao maofficials nafasi ya kupumua bana, juu alikuwa anawatukana kinyama. Sa blanda ni vile kuna msee kumbe alikuwa anakwachu hiyo commotion yote kwa videsa. Alafu hisiyo videsa ilifikia media na imekuwa risto mwaki kwa gava.

Imebaki Orezo kuruka risto yoyote kuhusu huyu mudhii akidai kama alienda akitukanana, akidai ako juu ya law, basi lazima kubambwa na kufikishwa kotiko kwenye atakuwa charged for makosa zake. Alafu pia kuna venye itabidi amejichuja waks kama MP, juu anaibisha gava.

 

Related Stories