waniaju roundi this ati watulie tu mtaani

August 17 2012 11:29am     0 3165

Photo Credit:BBC News   Tingua risto

Sasa ka we ni paro, utawacha mtoi aishie tusho ama akae mtaani?? Juu kunavenye gava imekazia waniaju kuingia tusho. Gava inadaisha waniaju wana need time pia ku rest kiasi, baada ya kumada term mzima system.

Sasa tuna ask kama wesewe ni paro na mniaju yuko system unaweza prefer mniaju wa kwako kutulia mtaani, ama unaweza prefer aingie tusho. Gava inadaisha mamode wanamangia sana na risto ya tusho na raundi this system ni sare.

Related Stories