Athletes wamebaniwa juu ya doping

January 28 2015 12:11pm     0 308

Photo Credit:Daily Nation   Tingua risto

Kuna athletes wanane wamepatikana na kiblanda na IAAF juu ya doping. Wa fao ni Flomena Kipchirchir, alinada wa seko kwa 2012 Prague Internatinal  na 2013 Frankfut Marathon. Yeseye pekee ndiye alipata ban pienga zaidi kwa wote, ikiwa ya miezi sita.

Alafu mwenye alipata ban sodi ni mbuus nifla wa husuko Embu anajiita Alice Ndirangu. Kutoka na huko area ya kwao ni yeye mdem pekee ashawai compete kwa hizi race. Ndirangu alikamu wa seko kwa 2013 Vancouver Marathon and then baadae akawin Calgary Marathon May 2013. Ban yake ni ya mvua nnei, na hii ni mara ya seko amepatikana akiwa positive.

Champee wa Standard Chartered Nairobi Half Marathon Elizabeth Chelengat, na bado ni champee wa 2009 Disney World Half Marathon. Pamoja na Champee wa Calgary Marathon 2014 Emily Chepkorir, wamebaniwa mvua mbili kila mjamoste.

Julias Mutai, Stephen Tanui, Philip Kandie Na Charles Nyakabari, wote wamebaniwa mvua mbekses kila mjamo. Case yenye ilirock hii fatality yetu ni ya Rita Jeptoo na Mathew Kisoro walipopatikana positive na IAAF kimoja na World Anti-Doping Agency.

Related Stories