Ngori ninda ya Nigeria

January 29 2015 9:10pm     0 384

Photo Credit:mail online   Tingua risto

Raiya wa Nigeria wanakapitia baada ya terrorists wanatambulika kama Boko Haram. Wamekuwa wakitishia maisha za wasee husuko. Zaidi ya kuattack place wakimada wadhii, pia wamekuwa wakikidnap watoi na kuwatumia kwa mradi zao za terrorism.

Sa kuna mbisha wamepost kwa social media ya waniaju salasa walikuwa wamesnatch kutoka kwa village nifla, wakiwa na mabunde na uni za kiarme. Kumaanisha wanatumia hao watoi kama child soldiers, na itarudi kukuwa mwadhara vimost.

2014 pekee, walidedisha wadhii zaidi ya thao kinde na wanakaa kuendelea kufanya hizi crimes. Imebidi gava ya Nigeria kuomba international support. Inakaa itakuwa jamo bwaku kuruka. 

Related Stories