Dolly za wamiro…

February 4 2015 2:24pm     0 140

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Taofick Okoya ni mjamaa wa action. Manze kuna time alikuwa anasaka dolly ya kubotia niece wa kwake, na hakupata. Alikuwa anasaka specific ya nyeu, nakila jamo akiget ilikua za rangi ya thao. Sa alichukua hii wera kwa mikono zake na kuanza kumekisha dolly zitarelate na waniaju wa Africa.

Okoya akiwa na miaka arbesa na tatu, ameweza ingiza compe mwenda kwa dolly zimekuwa ndonyo the longest za Barbie. Hisihi product line yake inatambulika kama Queens of Africa. Na enyewe ziko murwa sana. Aliweza kumodel hizo dolly zikae kama mambuus kutoka Nigeria, akiwa amepiga usoro tribe zote na kuchagua tatu zile zinashow strong feminine ideals.

Kitu ya ajaabu, ni venye hizo dolly zinakindwa zaidi husuko Amrerica, Brazil na Europe kuliko mtaani, Nigeria. Okoya anabambika sana vile zilikubalika na wadhii na anadai alitaka kupromote African history, Culture na Fashion.

Kwanza juu ya venye western influence imefanya watoi kuchanganyikiwa na kutamani kukaa kama walami. Hisihi mradi itaweza kuwasaidia kutambua pia hao ni wa maana kwa dunia ata kama ni wanyeu. Dolly zenyewe sio expe, na unaweza boti na soh nne na kobole pekee.

Related Stories