Ngori za kusameheana….

February 23 2015 2:10pm     0 136

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inafaa kujulikana ulovito hufika mahali inakalas na inafaa wadhii kukubali kushindwa matime. Mthama mjamo kutoka Oteto angekuwa anatambua hii riba vifiti juu bado angekuwa alive kama angejichuja tenee.

Andrea Crew alirudi kudedishwa na hubby wa kwake, Caleb, mwenye alikuwa amemvunja kiasi ilibidi amemwitia makarao na akaface charges za domestic violence. Wakiwa kotiko, husuyu mthama wa waniaju wambweks aliamua kusamehea hazii na kurudi mtaani na yeye.

Inasemekana Caleb alikuwa kwa arme, na tangu kurudi kutoka Afghanistan, wamekuwa na mashida kibao, akiwa anavunja wifey kila time. Pia walikuwa wanazushiana kuhusu cheddars. Kuna venye Andrea alikuwa amechoka na alikuwa anadai kumochoka kwa hiiyo ngori na kuenda kuanza maisha South America.

Inakaa hubby alikatsika sana kurushwa neti juu ya wife, na venye wakiwa kwa ndai wakirudi mtaani alirudi kumnyonga hadi akagenya. Alirudi kumueka kwa begiko na kujaza weights ndio arushe body kwa rivee. Sema kukuwa na chuki ya kimataifa….

Related Stories