Reason ya kuchuja hubby!

June 6 2014 1:39pm     0 2551

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wasee wamemarika hutafutiana makosa na njaro za ajaab sana. Lakini kuna njaro  zingine za ufala kuruka, hadi nashanga eti law inakubalisha hizi tabia.

Kunamanzi nifla wa Japan, alichuja hubby wa kwake juu ya kukosa kubambika na Disney Film inajulikana kama Frozen. Yaani muvi ya cartoon, ikaingiza reason ya kuwai divorce!

Huyo msee anadai wife wa kwake alikua amechizi mbaya na hiyo muvi, hadi alishinda theatre akienda kuicheki mara kadhaa. Sa blanda iliingia venye hubby alidai haifeel, comment imefanya ata habongeshwi na amechujwa kinyama.

Kama ni wewe ungebambika kuwachwa ama ungetakakusaidia husuyu dem?

Related Stories