North Korea kukazia foreign runners

February 24 2015 10:29am     0 356

Photo Credit:Standard Digital   Tingua risto

North Korea imekazia foreign runners, kuparticipate kwa international marathon, yenye iko schedule next month ya April. Korea wanakazia juu wanagwaya foreign runners wanaweza spread Ebola virus.

North Korea iko miles kama thao, na place ilikuwa affected sana na Ebola outbreak, husuko West Africa. Saa Korea haijareport kesi any ya Ebola husuko, na West Africa ikona wadhii atleast thao tisa ndio waliweza genya.

N.Korea ilitinga borders zake since October last year, juu walikuwa wanagwaya spread ya Ebola. Marathon yenyewe inajulikana kama Pyongyang Marathon na imekuwa in existence since 1981. Na Pyongyang ni capital city ya country but ni tao secretive sana.

Related Stories