Online user kutumia jina za uwela

February 26 2015 1:01pm     0 475

Photo Credit:The Times   Tingua risto

Gava ya China ina threaten wadhii hutumia social media itakubidi kutumia jina ya uwela. Hii rule itakuwa in use kuanzia Ndeisa date 1st March, itabidi websites kumake sure wadhii wanaregister kwa site lazima watumie jina ya uwela ikiwa imefwatana na jina ya para.

Gava  imechangamkia hii risto ili waweze kukaba ma descentres. Hii riba ilianzishwa na gava iliweze kuwai wale wasee huchafua rada, sana sana wenye huchocha wadhii kwa fórums. Gava inadaisha itafanya juu chini hadi watoboe.

Related Stories