Foree ya wenye wamegenya

March 5 2015 12:14pm     0 166

Photo Credit:Google   Tingua risto

Risto za kugenya hushtua wadhii wengi lakini ukikubali mapema haiwezi leta stress. Inafaa kupanga tenee venye utago, ndio usiwachie famo na mabeshte burden bwaku ya funeral arrangements. Kwanza juu ya venye wasee wamekuwa wakitake advantage ya hiyo situation na kujenga bizna bwaku around kuuma pamba.

Kunayo kampu jamo ya husuko Italy, imeanzisha mradi fiti sana. Idea yao ilikuwa ya kumekisha aina ya coffins zenye ziko eco-friendly. Sa badala ya kudai eti cemetery imecrom, kutakuwanga na memorial forests.

Venye inawork? Msee anachagua anataka kukuwa mti gani, alafu hisihi kampu itakumekishia capsula munoli yenye iko same na coffin inakaa kama yayo, alafu ukigenya utawekwa ninda yake kama seed then utazikwa kwa grao kama kawa, then utarudi kugrow kama mti. Ambapo wadhii wengi wakizikwa hivi kunakuwa na foree jamo mwenda. 

Related Stories