Top Gear presenter amezua fracas

March 11 2015 10:54am     0 293

Photo Credit:AGENCE FRANCE PRESSE   Tingua risto

Top Gear presenter Jeremy Clarkson amegeiwa saspe, kulingana na riba kutoka BBC. Inasemekana Clarkson alipatikana kwa ngori.

Clarkson alimake hii show kuwa popular sana. Show ilikuwa viewed na wasee mita soh tatu na chwani kwa wiki jamo kwa countries 107. Kunayo time nifla pia ashawai geiwa sas, juu ya racisim and then sasa amepatikana kwa ngori eti alivaa producer wake blow.

Saa hii Clarkson yuko on suspension investigations zikiendelea, but inasemekana hanaku msee mwingine amegeiwa sas isipokuwa yeye pekee. Sasa fans wake wamechora petition kwa BBC ili waweze mrudisha janta.

Related Stories