Maneighbor wapoa

March 11 2015 1:07pm     0 987

Photo Credit:Google   Tingua risto

Muharrem kutoka Istanbul, ako deaf, yaani hajawai skia sound yoyote kwa maisha yake. Sa njaro yake ya kubonga na wasee ni kupitia Sign language. Lakini wadhii kibao hawajui hii lugha na matima inakuanga hard kueleweka ama kumekisha mabeshte wanira pia.

Bila yeseye kujua, alisetiwa na mtasis wa kwake pamoja na maneighbor, kufilm advert nifla yenye inapromote message inadai; ‘A world without barriers is our dream.’ Sa wakiwa wanambetea tu kwa street, aliget surprise kibao venye stranger alimgotea akitumia sign language.

Bado wakizidi kumbetea, wadhii more waliendelea kumbongesha wakitumia ile lugha anaelewa, hadi alifika mahali akaanza kulia juu ya kushangaa eti mtaa nzima imejifundisha Sign Language juu yake. Waliweza kuinvolve kila msee kutoka shopkeeper, dere wa taxi, hadi electronic billboard.

Inashow venye enyewe tunafaa kuaccept wadhii vile wako na kujaribu kuwaelewa badala ya kuwatia zii.

Related Stories