Kilami imeuma pamba

January 27 2015 10:39am     0 543

Photo Credit:Google   Tingua risto

Majua wa hasapa 254 wameshindaga kutupa blame kila direction lakini sana sana wakiwa na mradi ya kumada Sheng. Hivi wakidai eti Sheng ndio imekuwa reason ya kilami kugenya. Vile tunazidi wadhii na mostly mayut wanalemewa ikifika kujiexpress in kingoso.

Mastiude kwa machuo wanadunda paper za language na hanaku msee anataka kuelewa shida huanzia mtaani.  Ni simple sana, bila kutambua mother- tongue koya, kuelewa Swa itakuwa hard. Pia kilami inahitaji boost kutoka hizo language zinengi. Na mbona ikuwe noma kulearn both kilami na Sheng simultaneously?

Kitu tunafaa kukumbuka ni eti language ni muhimu kwa wale wanaibonga. Kwa hivyo bora mnaelewana, haijalishi kufwata functions za language. Ata hapo bafo languages kama Latin na French zikisambaa kwa dunia, wadhii walizusha lakini haikustopisha spead yazo duniani.

Basi inafaa kumbuku fiti ukweli kuhusu lugha kuspoil. Risto ya kupoint mafinger kwa lugha hawajachukua time kuitambua haiwezi saidia hii situation.

Related Stories