UG wameshinda 254 kwa Ngoso
Photo Credit:Google Tingua risto
Eti Afrika nzima, inasemekana UG ni wa noma zaidi ikimuja kubonga kilami. Hiyo study ilifanywa baada videsa ya Miss Rwanda kusambaa, ikishowvenye alikuwa na mablanda akitry kuchop ngoso. Yaani hadi Nigeria wametushinda juu kumbe wanaweza kujenga sentences poa zenye hazina blanda za grammar.
List yenyewe iko hisivi:
1. Uganda
2. South Africa
3. Nigeria
4. Kenya
5. Zambia
6. Botswana
7. Zimbabwe
8. Malawi
9. Ghana
10. Rwanda
11. Sudan
Kuna venye UG pia wamemekisha Sheng yao, lakini wakitumia word za ngoso, inatambulika kama Uglish. Influence ya hii lugha ikitoka kwa Luganda na dialects zinengi za husuko kwao. Alafu ukiweza kuskiza iko funny na strange lakini bora unatambua kilami, haitakupita sana. Unaweza yebi mfano kiasi ya words wanabonga, kukaa rada nazo tu;
Avail – to make something available
Beep – to call someone once and hang up before they pick up
Benching – dropping in on someone you might have a romantic interest in
Bounce – to arrive somewhere and find someone there or
- to be turned away from an event
Buffalo – someone who uses incorrect or inarticulate English words
Bullet – a leaked exam paper
Cowardise – to behave timidly or like a coward
Dirten – to make something dirty
Live sex – to have unprotected sex
Mazongoto – a big bed
Side dish – somebody’s mistress
Special – an individual taxi
(special because a 14 seater taxi is the most common form of transport)
Vacist – a student on holiday
Waragi – a popular Ugandan crude gin, with high concentrations of alcohol.
-Also used derisively about a drunk person
Wiseaching – acting like a wiseacre
Wolokosso – loose talk.