Blanda za Internet

November 10 2014 3:57pm     0 739

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tumekuwa tukicheki risto za ajaabu sana kuhusu internet lakini this round wamefyatuka zaidi. Inasemekana kuna course nira yenye itaanza kufundishwa kuanzia 2015, na husuko University of Pennsylvania kwa Department of English.

Hiyo course itakuwa inaexplore kuhusu the art of wasting time kwa internet. Kumbe net imekuwanga distraction bwaku vimost both kwa mastiude na maemployee. Sana sana juu ya Social Media na YouTube. Wasee hupata wametumia idhaa kibao wakisaka vitu za kuwabamba.

Hisihi course itakuwa inaoffer material ya kuchop kwanet badala ya mahomu. Alafu mastiude wale wanachopia Major za Kilami ama Creative Writing, ndio watajipa kwa waks ya kucheki venye internet inaweza kukuwa na powers za kufanya msee kukuwa ultimate time waster.

Wale watajiweka kwa hiyo program watakuwa na lapin a WIFI connections, alafu itabidi wamebaki lembe ya screen zao kama 3hours hivi. Ata kama net imekuwa ikisaidia sana kwa mambo za E-learning, sijui venye kusomea hii course italeta maendeleo lakini juu iko kwa yuni jamo bigi, labda itaproduce majibu za maana. 

Related Stories