Hapana tambua!

June 24 2014 12:00pm     0 1112

Photo Credit:Google   Tingua risto

Si lazima kuwa ong’ong’o kutupwa neti. Mjamaa anajulikana kama Jeremy Meeks, amehangaisha wasee wa California na sasa hadi dunia nzima, after mbisha zake kuleak kwa internet.

Huyusu mudhii alibambwa na mavedi wa area ya Calif juu ya kukuwa criminal mjamo mzii, coz alipatikana na mabunde kadhaa na pia ni suspect wa murder. Anadaishwa anaweza kuwa member wa gang bwaku vimost kwa hiyo tao, na ata akona tattoo zinashow uhusiano yake na hiyo gang.

Lakini famo na mabeshte wake wanamtetea,wakidai ni msee mpoa na ata ashawachana na njaro zake za tene. Alafu wanadaisha amewekelewa, kwa hivyo wanafaa kumwachilia arudi mtaani.

Wale wasee wamekemba mbisha zake kwa FB na Twitter wanadai ni handii sana kukuwa jela, hadi ata hawajali eti ako neti. Already alishawai 89,000 likes kwa FaceBook, na hiyo siku ya fao mbisha zake kuleakiwa.

Makarao na gava wamekatsika sana kuhusu hii risto, juu hawaelewi mbona raiya hawaoni venye ni mambo serious kudaisha ati msee msupuu hafai kukuwa jela. Na wanauliza wadhii waache kusambaza hizo mbisha za husuyu bad boy. Sana sana hao mambuus wadespa wale wamemkufa kuruka.

Related Stories