Ungependa kutuna wapi?

June 30 2014 12:30pm     0 866

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wengi wetu hutamani tu bed ya maana kuweza pata singizi. Lakini ata tukijua kuna wale hawawezi afford hiyo maisha, kuna wale wanatafuta hisihi luxury kwa njaro funny sana.

Zile vitu hoteli hukapitia kupata wateja, huushangaza vimost. Na pia wadhii wale huenda hizi places, wanakuanga wamethrow wood.

Hoteli jamo iko husuko Berlin ndio imeshinda zote kwa weirdness. Inatambulika kama Propeller Island City Lodge, na inapatia wageni wake feeling ya kutuna jela ama kwa hosi ya wenda. Ata msee anadai kudoze kwa coffin atawai hiyo service hasapa vipoa sana.

Yebi mbisha za room zao, uamue unaweza tamani kubook gani.

Related Stories