Mudhii anaishi kwa roof coz jakes imecrom…

June 16 2014 1:31pm     0 1280

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mjamaa nifla mkaazi wa Texas, ameamua kufaya roof ya jakes yake, area ya kutuna juu ya vile amejaza hao na stuff. Isitoshe akona stuff hadi nje ya keja na hajawai ondoa ata baada ya kubambwa na kutupwa neti juu ya kujaza tako kwake.

Maneighbor wamezusha yao yote kuhusu hii shida yake hadi wamechoka. Wanadai husuyu hoader, amekuwa akituna hapo juu ya roof mwaka nzima sasa. Ata mazima walikua wamekam kucheki hiyo keja ,walidai ni safety hazard. Walidai pia kuchuja vitu zile ziko njei pekee, itachukua siku kama tatu kumalo.

Ungedo nini kama huyu msee ni neighbor wa kwako? Alafu ni nini hizi lazima angeweka kwa hao, hadi anakosa place ya kustay?

Related Stories