Uzuri ya Kanairo…

July 30 2015 3:11pm     0 965

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kanairo ni jiji jamo fyam kuruka. Inakuanga na surprises kila kona na kuna venye huzidi kujazz wadhii both raiya na tourists kila time. Bila kufikiria kuhusu traffic na mathegi, hisihi ni yadi jamo supuu sana inaweza kukuwa romantic pia.

Ukidai kuwai area utapeleka tarehe yako bila kushtua mbosho na expenses mwenda, kuna machuom unafaa kutambua bana. Isipokuwa njaro ya kusave ganji iko kwa walenje, inaweza kuwa njaro ya kushow umaarufu ya kujua spots noma ninda ya jiji. Yaani utakaa mwenyeji vimajor.

Jivanjee Gardens ni jamo ya open garden ziko ninda ya jiji. Alafu ni sare na accessible. Inengi ikiwa Uhuru Park yenye ikona hadi provisions za boat riding. Kuna pia Central Park yenye iko opposite Uhuru Park.  Ukiwa unadaisha place safi na bila kelele, August 7th Memorial Park ni garden inengi fiti ya kuenda picnic.

Ukitaka kukuwa mdaring zaidi, unaweza fikisha tarehe wa kwako kwa  rooftop ya KICC. Ni yadi perfect ya kucheki city na sunset, lakini utakohoa tu soh jamo na chwani per person.

Kuna option ya kutoka jiji kiasi na kuenda kwa foree. Kwa wale wanapenda nature, places za sare ni kama; Arboretum, Uhuru Gardens (Lang’ata Road) na City Park. Alafu inengi iko far kiasi ni Uthiru Roundabout. Ukidaisha environment na activities zinengi, unaweza lipa soh jamo kuingia Karura Forest.

Sa hanaku riba ya kupeleka mbuus mtaani kumpikia eti juu wesewe ni safara. Mnaweza beba hiyo keroma na kujibamba place yoyote ya hizi tumetaja, na utaweza ingiza manzi box virahisi.

Related Stories