Keroro imetoka space

March 26 2015 10:25pm     0 1761

Photo Credit:Thrillist   Tingua risto

Sasa wasee wa keroro wanadaisha umati inataka keroro imepiga lap hadi outter space kiasi yake. After April 2015, kuna bez kadhaa huko Oteto unaweza pewa barle yenye yeast ilitumika kuimake imepitia outter space kiasi from kampu kadhaa, moja yao ikiwa Ninkasi Brewing Company.

Wasee wa Ninkasi Brewing walikwachu rocket jamo last year na wakasunda yeast kiasi zikaenda into space lakini kuridi zikalost for karibu mwezi jamo kwa desert. Hawakuchoka, walitry tena around October 2014 na sasa vile zilirudi, walikaa nazo ritho. Wanaunda mwako inajiita "Ground Control" 

Lakini hawa si wasee wa fao kudo kitu ka hii...kuna kampu ingine, Sapporo, kutoka Japan yenye iliunda mwako na barley iligrow kwa International Space Station tene, 2008. Na pia 2012 kuna kampu ya Scotch whiskey inajiita Ardbeg walipeleka kiasi huko juu iweze ku-age miaka mbe in zero gravity waone ka itakua mwenda. Hii ilifanya waget awards kadhaa pia.

Unaweza penda mwako imetembea hisivyo?

Related Stories