Blanda kwa voting huko Nigeria

March 29 2015 7:50pm     0 1455

Photo Credit:VOA News   Tingua risto

Raiya ya Nigeria wako kwa polls mpaka late, lakini si kwa area zote. Hii ni after electoral body ya husuko kuextend gidhaa juu ya blanda ya card readers kukwara waks. Wasee wa 9ja waliamulia kadi electronic kutry kumalo risto za corruption na rigging hii ndirao.

Hizi elections ni za kusaka orezo between orezo current, Goodluck Jonathan na Muhammadu Buhari. Kadi ya orezo mwenyewe, Goodluck Jonathan na gavana wengine ka watatu hivi from party yake, PDP (Peoples Democratic Party) walikua wale among kadi hazikua zinaweza soma detail zao na ikabidi wacheki nijea. Ilibaki details zao zimechorwa manually na wakasema hii ndio reason hawakua wanataka risto za digital na hizo kadi.

Inasemekana kumekua mpaka na statement kutoka kwa orezo ikidaisha kungekua na testing ya hizo brus before zisundwe kwa elections bigi hii design juu hii imekua blanda mwenda  sana.

Unakenga kijea hii riba, hapa mtaani tutafika husuko ama?

Related Stories