David Beckham na James Corden kwa ad funny
March 30 2015 5:57pm
0
823
Photo Credit:Telegraph Tingua risto
Kuna hii ad nira imepenya kwa telly majuu...Si watu wengi wanakuanga na chance ya kuanua cladi za machali na wakiwa kwa ad zenyewe. Lakini kuna hawa machali wawili wenye ni maceleb kiasi yake.
David Beckham anajulikana kutoka kwa dimba time zake na James Corden ni comedian nifla. Pamoja walianua line ya ngotha za machali na wako kwa ad ya fao. Ngotha zenyewe ni lebo ya D+J, initials zao na walikua kwa The daily Show kuzianua.
Unazikenga kijea, ni ngotha unaweza ng'ara ama uboti za chali yako?