Kuosha miguu za inmates

April 3 2015 7:28pm     0 1811

Photo Credit:Free Bible Images   Tingua risto

Kila Holy Friday, wasee wa catho worldwide huishia chachiko kumark day la lanyo before Jesus akue crucified. Tradition jamo hua ni ile ya kuoshwa miguu na hii hua ni padre ama ule msee analead mass hio siku, anakwachu wasee kadhaa, mtu kumi na mbili hivi na wanaoshwa miguu.

Huko Rome si any different, na Pope Francis amekua kwa the forefront kushow si lazima hao wasee wakue kutoka religion ya Catho. Pope Francis tangu apate hio position, aliamua kubreak tradition ya tene juu ameosha miguu za wasee waislamu, madem na hii Holy Thursday alienda neti akaget mtu kumi na mbili akawaosha miguu. Hio ilikua kwa neti jamo inatwa Rabibbia Prison. Kwa wale wasee waliosha miguu kulikua na wasee wametoka Nigeria, Congo, Equador, Brazil na hata Italy. Hii ilikua machali na madem, na hii ndirao kulikua pia na mniaju mjamo.

Last year alikua kwa Rehabilitation Centre ya wasee wazae na wenye wako na disabilities kiasi yake. Mwaka ya bafo alienda kwa detention centre ya wasee under 18, hapo ndio alibreak hii tradition ya kuosha machali solo juu aliosha miguu za madem pia.

Inasemekana kwa hao mtu kumi na mbili wameoshwa miguu this year, walikua na machozi kwa macho vile alikua anawaosha. Pope Francis ameskika akisema hakuna kitu poa ka kuserve wasee. Yenyewe ni njaro poa sana. Hii Easter unachora kudo nini kwa wasee wengine wenye wako in need? Tuchapie

Related Stories